Burudani
Birthday ya Shilole: Afunguka kutajwa na Rais Samia (Video)
Msanii wa muziki @officialshilole ambaye leo ni siku yake ya kuzaliwa amefunguka sifa mbalimbali ambazo anazipokea kutokana na biashara zake. Muimbaji huyo amemsifia Rais Samia kwa makubwa ambayo amekuwa akiyafanya kwaajili ya Watanzania.