Habari

Bisk aachia Jaga Jaga (Video)

 

Ni msanii wa muziki wa miondoko ya afro beat kutoka nchini Nigeria Ambaye anaamini katika talanta yake huku ikiwa na shauku ya kutaka Afrika nzima itambue anachokifanya katika muziki.

Bisk ameachia wimbo wake alioupatia jina la “JAGA JAGA” wimbo ambao pia unapatikana katika vyanzo mbali mbali vya kupakua muziki ikiwemo Youtube.

Vile vile kufutialia kazi zake zijazo unaweza kumfuata katika mitandao yake ya kijamii kama @bisk_

Furahia muziki mzuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents