Watanzania wametakiwa kuwapigia kura wasanii wa filamu ambao wametajwa kwenye tuzo za @zikomoawards .
@tanzania_film_board wamesema wameona kuna umuhimu wa Watanzania kupiga Kura kwa wingi ili kuiheshimisha tasnia ya filamu Afrika.