Michezo

Bondia Tyson Fury ampiga Deontay Wilder KO raundi ya 11

Bondi kutoka katika jiji la Manchester nchini Uingereza Tyson Furry ameibuka mshindi kwa mara nyingine katika pambano la ngumi baada ya kumpiga bondia kutoka Marekani Deontay Wilder KO round ya 11 tu.

Furry amefanikiwa kutetea ubingwa wake wa WBC ambapo pambano hilo limefanyika Nevada nchini Marekani hii inakuwa mara ya pili mfululizo Tyson Furry kumpiga Wilder KO.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents