Boshoo: Young Lunya ni rapper anayehit mtandaoni ila sio mkali, Conboi ndio mkali (+ Video)

Rapper wa muziki wa Bongo Fleva @boshoo_ze_son amewataja marapper wakali na marapper wanaotrend kwenye mitandao na sio wakali kama watu wanavyofikiria.

Mbali na hilo @boshoo_ze_son ameimba Cover ya ngoma ya @harmonize_tz #BEDROOM

Toa maksi zako kwa uwezo wa @boshoo_ze_son na tuambie unampa asilimia ngapi kwa kazi zake anazoendelea kuzifanya na Je kwenye Bedroom remix ya @harmonize_tz alistahili kuwepo..?

 

 

Related Articles

Back to top button
Close