Bosi wa Candy and Candy Joe afunguka baada kutoka jela ‘rafiki zangu wa Kenya walisema nitafia jela’

Mkurugenzi wa label ya Candy and Candy, Joe ambayo imewahi kuwasimamia wasanii wengi nchini pamoja na kuanzisha project za kuwasaidia wafanyabiashara wadogo hususan akina Mama, amefunguka kuzungumzia mengi aliyopitia baada ya kuhukumiwa miaka saba jela kwa kosa la kujipatia pesa Kwa njia ya udanganyifu.

Related Articles

Back to top button