HabariMichezo

Breaking: Ali Kamwe ajiuzulu Yanga

Kupitia Instagram yake @alikamwe ameandika kuwa :- “A Good dancer must know when to Leave a Stage. Mtumbuiza ji muri anatakiwa kujua ni wakati gani wa
kuondoka Jukwaani..

Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;

Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.

Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba,
Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda
pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.

Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.

DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents