BurudaniHabari

Breaking: Diva atangaza kuondoka Wasafi Media rasmi

Kupitia Instagram yake @divatheebawse ambaye ni Mtangazaji wa Wasafi Media ameandika kuwa:-

“Hellow watu wangu wa Lavidavi, Napenda kuchukua fursa hii kuwaaga Rasmi, ntawamiss sana, tumekuwa wote toka 7/6/2021 Mlinipokea kwa furaha sana na kiukweli mtabakia kuwa sehem Ya Maisha Yangu, ntakumbuka hasa interviews zote ambazo nilizifanya it was such a great honor kiukweli kuwa Pamoja nanyi, Exclusive zilikuwa nyingi sana, lakin zaid niseme sms zenu za kuchagua nyimbo na kuomba msaada wa kimahusiano
ntazikumbuka zaid na zaid,

@divatheebawse ameongeza kuwa “Naushukuru Uongozi Mzima wa Wasafi Media Kwa Kuwa Na Mimi Kwa Upendo kabisa kwa muda wote huo, shukran za dhati Kwa My Bawse 1 n Only @diamondplatnumz kwa kunipa nafasi nzuri ya kurudi hewani na kuamini katika talent na ubunifu na kufanya kazi kwa bidii, nimejifunza sana vingi kutoka kwake, he is truly one of a kind, a role model but mostly Tanzania One, I’ll forever cherish the airwaves, I’ll forever cherish you and I am so Thankful, I’ll always love n support you and You’ll always have a very special Place in My heart.

Anasema “Lakin nishukuru Pia wafanyakaz wenzangu, djs, and My Producer Director onesmo.

I know this might come as a shock but made decision to depart ways and kuangalia fursa zingine.

as a business woman have alot to do as well and ntaendelea shukuru hasa ushirikiano wenu kwangu.
love you all and all the best
XX
Diva.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents