
Kupitia Kauli ya @diamondplatnumz staa wa muziki kutoka Marekani @jasonderulo amekubali kufanya Collabo na @diamondplatnumz
Ameomba atumiwe Demo ya wimbo husika.Hii ni wiki ya maonyesho ya mavazi katika jiji la Paris nchini Ufaransa.
@diamondplatnumz ahudhuria kwenye maonyesho hayo na hivi ndivyo alivyovaa.
Siku kadhaa tuliona mastaa wengi wa Nigeria wakihudhuria Louis Voitton Fashion Week akina Burna boy, Wizkid, Rema, Tems na wengine.
@diamondplatnumz aiwakilisha Afrika Mashariki awamu hii.