Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Breaking: Mwijaku ampeleka Nandy Mahakamani, anamdai kiasi hiki aeleza mwanzo mwisho

Breaking: Mwijaku ampeleka @officialnandy Mahakamani, anamdai kiasi hiki, afunguka suala la Zuchu na mengine.

Mtamgazaji wa Clouds media leo asububi 9/8/2022 majira ua saa mbili asubuhi amefika mahakama ya Mwanzo Sinza kwa ajili ya kusikiliza shauri lake na msanii wa Bongo Fleva @officialnandy

Kesi hiyo iliyofunguliwa na @mwijaku ni ya madai na ameeleza mwanzo mwisho kuhusu suala hilo.

Keshi hiyo imeahirishwa mpaka tarehe 22/8/2022 hapa hapa mahakamani ambapo mshitakiwa @officialnandy na mshitaki @mwijaku wanapaswa kuja na ushahidi wa madai yao ambapo @mwijaku ameeleza kuwa anamdai @officialnandy milioni 10 ambapo imepanda hadi kufika milioni 25 za kufanya matangazo mawili.

Related Articles

Back to top button