Michezo
BREAKING: Winga huyu kutua Msimbazi

Muda wowote kuanzia sasa klabu ya Simba itakamilisha usajili wa winga wa Power Dynamo raia wa Zambia Joshua Mutale (22).
Muda huu Viongozi wa Simba wako Zambia kukamilisha dili hilo.
Ikumbukwe Msimu uliopita Joshua Mutale alifunga goli 8 kwenye Ligi ya Zambia.