Habari
Bunge lighairishwe tuinusuru Kariakoo- Mbunge Festo Sanga (+Video)
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amempa nafasi Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuzungumzia swala la wafanyabiashara wa Kariakoo baada ya Mbunge Festo Sanga kuomba Bunge lighairishwe kwa kile alichodai swala la dharura.