BurudaniFahamuHabari

Burna boy anamiliki magari ya kifahari zaidi kwa wasanii Afrika??

Burna Boy nni moja ya wasanii kutoka barani Afrika wanaotajwa kumiliki magari ya kifahari zaidi mpaka sasa, kupitia majarida mbalimbali yameanndika kuwa:-

Burna boy anamiliki magari haya ya Kifahari.

Lamborghini Aventador SVJ $867,500 ya mwaka 2022 . zaidi ya Tsh bilioni 2

Two Rolls Royce Dawn $350,000 na nyingine 700, 0000 zaidio ya bilioni 2 za Kitanzania

Bentley Continental GT. $270,000 ya mwaka 2017  zaidi ya milioni 500 za Kitanzania

Ferrari 458 Italia $230,000 ya mwaka 2013 . zaidi ya milioni 500 za Kitanzania

 

Mercedes-Benz $228,000 ya mwaka 2022 . zaidi ya milioni 500 za Kitannzania

Lamborghini Urus Esteso $230,000 . Zaidi ya Tsh milioni 500

Maybach S650,000. zaidi ya bilioni 1.2 za Kitazania

Range Rover Autobiography $167,000 . zaidi ya milioni 300 za Kitanzania

Na yupo kwenye mipango ya kununua Buggati aina mpya ambayo ni $5 million zaidi ya Tsh bilioni 10 ambayo siku za hivi karibu Cristiano Ronaldo ameinuua.

Unahisi msanii gani anamiliki magari ya kifahari zaidi ya Burna boy kwa wasanii wa Afrika??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents