Burudani

Bushoke awaliza mashabiki wake kwenye usiku wa The Vikings (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Bushoke jana usiku alikuwa ni moja ya wasanii waliyowasindikiza Papii Kocha na Babu Seya kwenye show yao waliyoiita ‘The Viking’s Night’ iliyofanyika katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es salaam.

Bushoke aliwabamba vya kutosha mashabiki wa muziki waliohudhuria usiku huo kwa kutumbuiza wimbo wa Msela ambapo kwa uwezo wake jukwaani wimbo ulionekana kama umetoka juzi, Tazama alichokifanya bushoke jukwaani

Related Articles

Back to top button