Bongo MovieBongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudani

Bushoke jinsi alivyoikamata Afrika Mashariki kwa muziki wake halisi (Video)

#oldisgold: Kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva kimezalisha wasanii wengi sana wenye vipaji vya hali ya Juu sana.

Kuna muda unaweza kujiuliza vipaji vya muziki vilivyowahi kutokea Tanzania miaka ya nyuma ipo siku tutqvipqta vingine kweli??

Aina ya muziki waliofanya, Jumbe zilizokuwa kwenye nyimbo zao ziliakisi kabisa maisha halisi ya jamii zetu hapa Tanzania.

Ukubwa walioupata na nyimbo zao kuwafikia wengi ulikuwa wa ajabu maana mitandao ya kijamii haikuwa na nguvu kiasi hicho.

Walifanikiwa kufanya show karibia kila kona ya dunia na kujiendeleza kimaendeleo.

Hapa Tanzania ukitaja jina la BUSHOKE vijana wengi watajiuliza alikuwa nani huyu??

Alikuwa na muziki wa aina yake, muziki uliokuwa na ujumbe mzito lakini muziki uliochezeaka na kusikilizwa na kila mtu.

Hapa nimekuwekea nhoma 9 za BUSHOKE kali leo kwenye #Tbt ya kibabe hapa Bongofiv.

Tuambie ipi ilikuwa ngoma yako pendwa na itabiki kuwa bora na je ngoma za BUSHOKE zinakukumbusha wapi??

 

 

https://www.instagram.com/p/C73qWunN7vM/

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents