Michezo
Camara na Che Malone kuikosa Coastal Union

Updates 👇
❌ Golikipa wa Simba, Moussa Camara 🇬🇳 na beki Che Malone 🇨🇲 wataikosa mechi NBC PL 🇹🇿 kesho Machi 1 dhidi ya Coastal Union kutokana na majeraha
➡️ Camara anakosa mechi ya kwanza msimu huu baada ya kucheza mechi 2️⃣0️⃣ (dakika zote 1800) na kupata Clean Sheets 1️⃣5️⃣