Carlo Ancelotti kutua Real Madrid muda wowote

Carlo Ancelotti kurithi mikoba ya Zinedine Zidane ambaye aliamua kuondoka Real Madrid wiki iliyopita. Kocha huyo raia wa Italia aliwahi kuifundisha Real kuanzia mwaka 2013-2015, na kutwaa taji la Champions League mwaka 2014. Ancelotti amejiunga na Everton mwaka 2019.

Everton must hope Carlo Ancelotti keeps his word after answering Real Madrid  question - Liverpool Echo

Mpaka sasa dili la kocha huyo kutua Real Madrid limefikia asilimia 99, na huwenda muda wowote akatangazwa rasmi

Related Articles

Back to top button