HabariSiasa

CCM Kibiti wapiga kura kupata viongozi (+Video)

Jumla ya wajumbe 838 kati ya 885 kutoka Kata 16 za Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani wanapiga kura hii leo Oktoba 2, 2022 ili kupata Viongozi wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya, Katibu Mwenezi wa Wilaya, Wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa.

Wajumbe waliopiga kura ni 827 kati ya hao 838 waliohudhuria kwenywe uchaguzi huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents