HabariTechnology

CEO wa TikTok: Watoto wangu sijawaruhusu kutumia

Mkurugenzi Mtendaji wa TikTok, Shou Zi Chew amedai kuwa watoto wake haja waruhusu kutumia ‘App’ hiyo kwa kuwa ni wadogo.

Alipoulizwa kuhusu umri wa watoto wake, Chew amesema snap wawili mmoja miaka sita na mwingine miaka nane.

Shou Zi Chew amewashauri wazazi na watu wazima kutumia kwa uangalifu TikTok na kufuatilia kipengele kinachoitwa
‘Familia Pairing.’

Uchunguzi wa kitaifa dhidi ya programu hii ulitangazwa mwaka 2022 kutokana na hatari inayowakabili Watoto na Vijana.

Mtoto wako umemruhusu kutumia..?
Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents