SiasaVideos

CHADEMA: Tuna imani na mahakama kutenda haki juu ya hawa wabunge waliofoji nyaraka za chama (+ Video)

Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila ameeleza kuwa wao hawakuwahi kumteua mtu kuwa mbunge wa viti maalum huku akisisitiza kuwa mpaka sasa hawautambui uchaguzi wa mwaka 2020  wala matunda yoyote ya uchaguzi huo.

Akizuingumzia mchakato wa upigaji kura katika mkutano wa Baraza Kuu wakati wa kuidhinisha kuwafuta uanachama wabunge hao amesema mchakato huo ulikuwa wa wazi.

 

“Asilimia 97% ya kura za wazi zilizopigwa zilikubali wabunge hao wavuliwe uanachama, huku wajumbe watano walipiga kura ya hapana na wengine watano hawakupiga kura ya kukubaliana na uamuzi wa kuwavua uanachama wakina Mdee” – Naibu Katibu Mkuu CHADEMA  Benson Kigaila

https://www.youtube.com/watch?v=t1cWxQw4xOQ

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents