Bongo5 ExclusivesHabariSiasa
Chadema watoa utaratibu mzima mapokezi ya Tundu Lissu Kesho
Chadema watoa tamko kuhusu mapokezi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho Mh Tundu Lissu kurejea nchini kesho saa 7:30 akitokea Belgium ambapo baada ya mapokezi hayo ataelekea Temeke kwaajili ya kufanya mkutano wa hadhara.