Bongo5 ExclusivesHabariSiasa

Chadema yawazungumzia Lema na Heche, usalama upo warudi

Chadema watoa tamko kuhusu mapokezi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho Mh Tundu Lissu kurejea nchini kesho saa 7:30 akitokea Belgium ambapo baada ya mapokezi hayo ataelekea Temeke kwaajili ya kufanya mkutano wa hadhara.

Mbali na hilo Msigwa Kuhusu ujio wa Mh Godbless Lema na John Heche Heche Peter Msigwa ameendelea kufafanua hili “tunaimani kubwa maana serikali imesema kupitia bunge lake lilithibitisha kwamba kuna usalama wa raia waliopo nje wanakaribishwa kurudi “

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents