Michezo

Chama kuikosa Yanga Jumamosi

Mchezaji wa Klabu ya Simba SC, Clatous Chama ataukosa mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sport Federation Cup hatua ya Nusu Fainali dhidi ya Yanga SC unaotaraji kuchezwa Jumamosi ya Mei 28, 2022 Jijini Mwanza.

Chama atawakosa Yanga baada ya kiungo huyo kurejea Dar es Salaam kutokea Jijini Mwanza usiku wa jana ili kuendelea na matibabu zaidi.

Mzambia huyo, Chama pia anataraji kusafiri kwenda Zambia kwa ajili ya Ibada maalum ya kumuombea Mke wake aliyetimiza mwaka mmoja tokea kufariki kwake.

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button