Chato kuwa kitovu cha Utalii kanda ya ziwa, Waziri athibitisha (+ Video )

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ameitangaza rasmi Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuwa kitovu cha Uhifadhi na Utalii Kanda ya ziwa, kufuatia eneo la Chato kuwa na sifa na maeneo mengi yenye utalii wa aina mbalimbali.

Ametangaza uamuzi huo akiwa katika ziara ya kikazi na alipotembelea Shamba la Miti Biharamulo linalotajwa kuwa ni la pili kwa ukubwa lenye hekta zaidi 69,797 linaloziunganisha Wilaya ya Bukombe, Chato Mkoani Geita na Wilaya ya Biharamulo Mkoani Kagera.

Related Articles

Back to top button
Close