Habari

CHATO: Rais Samia azuru kaburi la JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipozuru Kaburi hilo leo Oktoba 14, 2021. alipokua njiani akielekea katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kushiriki katika kilele cha mbio maalum cha Mwenge wa Uhuru.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button