Michezo

Che Malone amliza Fadlu

“Jambo linalonipasua kichwa sasa ni kuhusu hali aliyonayo (Che Malone) kwani sijajua atakaa nje kwa muda gani kama akifanyiwa vipimo. Tuna mechi muhimu mbele yetu, hivyo sihitaji kumkosa mchezaji yeyote ili kuhakikisha timu inakuwa imara kila sehemu,” alisema Fadlu.


.
“Yapo majeraha yanayomfanya mchezaji akae nje muda mrefu au mfupi, lakini majibu hayo yatatokana na vipimo, hivyo tuombe Mungu.”


.
Hata hivyo jana taarifa rasmi kutoka Simba ilisema Che Malone amefanyiwa vipimo na kinachosubiriwa ni majibu ili kujua ukubwa wa jeraha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents