Michezo
Che Malone aomba radhi

“Napenda kuomba radhi kwa familia nzima ya Simba Sc kwa kuwagharimu sana kwenye mechi mbili. Nawajibika kikamilifu kwa makosa yangu na kuahidi kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kufanya vizuri zaidi katika siku zijazo.
Samahani sana, Asante Simba,
Asanteni mashabiki kwa kunitia moyo kila mara licha ya kuwakatishwa tamaa.”
—Beki wa Simba SC, CHE MALONE FONDOH kwenye ukurasa wake wa Instagram.