Bongo5 ExclusivesBurudaniMuzikiUmbea
Cheka tu ilianza Kanisani (Video)
Crey ni Co-Founder wa Platform ya @cheka.tu ambapo @coy_mzungu ndio Founder na ni mtu na kaka yake.
Akipiga story na @el_mando_tz ameeleza kwa urefu namna Platdorm hiyo ikivyoanza na kusema kuwa walianza kuchekesha Kanisani.
Mahojiano yote yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman &Editor @samirkakaa