Habari
Chief Godlove ainua mikono utajiri wa Saidi Lugumi(Video)
Moja ya video iliyosambaa mitandaoni na ku-Trend ni hii ikimuonyesha sehemu ya Utajirj wa Mfanyabiasha @lugumisaidi hasa magari yake ya Kifahari.
Video hiyo imepostiwa kwenye ukurasa wa Mwana-mitandao yake Kijamii anayejulikana kwa jina la Chief Godlove.
Clip hiyo imewavutia vijana wengi kwa namna Mfanyabiashara huyo ngi nchini alivyokuwa akiyaonyesha na kuyaelezea magari yake ya Kifahari.
Baashi ya magari hayo ni Cadilac Escalade ya mwaka 2024, Range Rover New Model, G Wagon New Model na zingine.
Kitu gani umekipenda kwenye hii video??