Burudani

Chief Godlove “huu ni makati wa kuombea amani”

“Ndugu zangu Watanzania, huu siyo wakati wa kuzungumza kuhusu rafiki wa kweli au ndugu wa kweli ni yupi kutokana na Nani ulikua unawasiliana naye wakati wa shida ya internet/Mawasiliano. wakati huu ni wakati wa kuliombea taifa letu kuwa na Amani na mshikamano hakuna ndugu wa kweli anayeweza kusheherekea maumivu ya wengine au kujivunia mgawanyiko wa taifa sote ni ndugu wa tanzania na umoja wetu ndio nguzo ya Amani yetu hebu tusimame Pamoja tuombee waliotangulia walazwe mahali pema peponi na tusonge mbele kwa matumaini huu sio wakati wa kunyosheana vidole Yule ccm Yule chadema yule mkristo yule muislam yule mnyakyusa na yule ni mzanzibari haitotufanya tukawa na Amani Tanzania 🇹🇿 inathamani kuliko kitu chochote tuiombee Amani Mungu Ibarik

Written by @abbrah255

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents