Habari
CHINA: Mtu mmoja apoteza maisha na wengine 123 kujeruhiwa baada yaTreni kupata ajali – Video
CHINA: Mtu mmoja apoteza maisha na wengine 123 kujeruhiwa baada yaTreni kupata ajali - Video

Ajali ya Treni yatokea CHINA 🇨🇳. Mtu mmoja ameripotiwa kufariki Dunia baada ya treni kuacha njia na kupinduka katika eneo la Chenzhou, China.
Inaelezwa kuwa Uchunguza bado unaendelea wa kujua chanzo cha ajali ila Ingawa taarifa za awali zinasema kuwa mvua kubwa iliyonyesha iliyoleta utelezi katika njia ya treni hiyo (Reli) ulisababisha treni hiyo kuihame njia.
Licha ya mtu mmoja kuripotiwa kufa pia Watu 123 wamejeruhiwa na kuelezwa kuwa wanne wako mahututi”
https://www.instagram.com/p/B-WsQDLhBUD/
By Ally