Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Chozi la Zuchu lilivyogeuka kuwa baraka

Chozi lake limekuwa na baraka kubwa kwenye career yake kwani siku ya Ijumaa alikuwa na Show Houston Marekani na show ile ilikosa watu.

Kupitia Insta Story yake @officialzuchu alieleza namna alivyomwaga machozi baada ya show yake kubuma.

Lakini kama wanavyosema Mungu humpa mtu muda anaoutaka @officialzuchu hakujua kama jioni angeenda kubeba tuzo ya AFRMMA.

Chozi lake liligeuka baraka baada ya kubeba tuzo hiyo na usiku wa Tuzo @officialzuchu alieleza namna alivyoumia baada ya show yake kubuma.

Related Articles

Back to top button