Michezo

Chozi lamtoka, azungumza kwa uchungu shabiki huyu wa Yanga (+Video)

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC siku ya Jumapili tarehe 19/9/2021 watashuka uwanjani kuwakabili Rivers United Fc nchini Nigeria katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Yanga watakuwa na kibarua kizito cha kuhakikisha wanafanikiwa kuwafunga Rivers United FC ili kujihakikishia inasonga mbele hasa ukizingatia mpaka sasa wapo nyuma kwa goli moja walilofungwa nyumbani katika uwanja wa Benjamin Mkapa wikiend iliyopita. Akilimali Makame alikuwa miongoni mwa baadhi ya mashabiki wa Yanga aliyepata bahati ya kuufatilia mchezo wao na kushuhudia wakipokea kipigo hiko cha goli 1 – 0, amejinasibu kuwa Yanga inauwezo mkubwa ugenini, hata hivyo mwananchi huyo alijikuta akishikwa na uchungu wa matokeo mpaka kushindwa kuzungumza.

Related Articles

Back to top button