Chris Brown na Rihanna wanaswa pamoja

rihanna-chris-brown-grappy-after-party-34

Chris Brown na mpenzi wake wa zamani Rihanna,wameonekana wakitoka kwenye club baada ya


kinachosemekana kula bata usiku mzima pamoja.

 

Ma-ex hao wawili waliondoka club ya Greystone Manor huko L.A usiku wa Jumapili kwa mida tofauti,Breezy akitokea mlango wa mbele na RIRI akiibia na kutoka kwa kutumia mlango wa nyuma na kuzamia ndani ya mdinga lililokua linamsubiri.

Rihanna alikua anatweet usiku mzima, ambapo iliwafanya wengi wajiulize kama anaelekeza message hizo kwa Breezy,

tweet yenyewe hii hapa!! @rihanna

“No teasin’ u waited long enough….Go deep! Ima thro it atcha, can ya catch it?! Know I’m feelin ya huh?! Know I’m likin it huh?! Don’t hol’ back…u know I liiike it rough!!!!”

Marep wa wasanii hao wawili wamekanusha madai hayo, Chris Brown akisisitiza kwamba ni washikaji tu, na pia uongezea kwamba yeye ana demu wake anayempenda na yuko naye kwa sasa.

Ikiwa ni kweli, basi wawili hao watakao kutana katika stage ya tuzo za Grammy watanogesha vilivyo show hiyo.

Tunasubiri kwa hamu!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button