Burudani
Christina Shusho akiwa na jopo la waimbaji wa Gosple

Muimbaji wa nyimbo za injili Tanzania Christina Shusho akiwa na jopo la waimbaji wa nyimbo za injili akitangaza rasmi sherehe za mtoko wa PASAKA mwaka huu, utakaofanyika siku ya jumapili ya tarehe 20.04.2025 katika uwanja wa taifa wa BENJAMINI WILIAM MKAPA,
hii ni kufuatia na maelekezo aliyotoa waziri mkuu Mh. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA mwaka jana..!