Burudani

Chuchu Hans asema Jeraha imempa wakati mgumu kumpata Ray Kigosi (Video)

 

Msanii wa filamu na Mtayarishaji @chuchuhansy ambaye kwa sasa anatamba na tamthilia yake mpya Jeraha, amefunguka jinsi alivyopata wakati mgumu kumpa baba mtoto wake ili aweze kushiriki kwenye project hiyo.

Chuchu amedai kwa sasa wao wanalea mtoto na zinapotokea kazi basi hushirikiana kwa pamoja kwa kuwa wote wanafanya kazi za aina moja.

Chuchu ameyasema hayo Jumatatu hii wakati akifuturisha watoto pamoja na wadau mbalimbali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents