Michezo
Chukuchuku: Yanga tunao msimu huu, watajuta wakija KMC
Afisa Habari wa KMC FC @khalidchukuchuku_93 amewapiga mkwara Yanga SC kuelekea mechi yao ya Jumapili.
Unakubaliana na Chukuchuku kama Yanga wanaenda kuchezea mechi hiyo wakiwa kama Underdog kwa KMC?






