Habari
Chuo acha Taifa cha Utalii kushirikiana na SBL (Video)
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Dr. Florian Mtey (Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL, John Wanyancha (Kulia) wakisaini hati za makubaliano za ushirikiano huo. Sherehe zilizofanyika chuoni hapo tarehe 30/Septemba/2024