Taarifa zilizo rasmi ni kuwa Mchezaji nyota wa Klabu ya @yangasc , @clementinho49 amemua kusilimu na kuwa Muislam na kwasasa atajulikana kwa jina la Walid Mzize .
Mzize Amechukua maamuzi hayo Jana na ikiwa leo ni Swaum yake ya kwanza ndani ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan , na Kushahadia kwa Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari