Coastal 2 – 1 Yanga: Mchezaji wa zamani wa Coastal auchambua mchezo huo (+Video)

Licha ya ubora wa kikosi cha Wananchi kunako Ligi Kuu msimu huu wa 2020/21, lakini leo wameshindwa kulinda rekodi yao bora kabisa ya ‘UNBEATEN’ mbele ya Wagosi wa Kaya, vijana wa Coastal Union. Mchezaji wa zamani wa Coastal Union, Abbas Pira anaamini kilichopelekea kwa Wananchi hao kupokea kipigo hiko cha goli 2 – 1 ni kutokana na ubora wa wenyeji wa mchezo huo dhidi ya Wanajangwani.

Related Articles

Back to top button