Michezo
Coastal Union waangukia pua Muungano

Updates 👇
➡️ Baada ya Singida Black Stars kutolewa na JKU hapo jana, leo Coastal Union nao wametolewa na Zimamoto kwenye Muungano Cup 2025
✅ JKU na Zimamoto wameingia Nusu fainali
➡️ Timu za Tanzania Bara zilizobaki ni Azam itakayovaana na KMKM & Yanga itakayovaana na KVZ