Michezo

Coastal Union wampa zawadi Mzee Makamba

Mwenyekiti wa klabu ya Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’, Steven Mguto akimkabidhi jezi mpya ya msimu ujao, Mzee Makamba ambaye hii leo ni siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 84 ambao ni sawa na namba iliyoandikwa kwenye jezi hiyo.

Coastal Union kwa sasa inashika nafasi ya sita (6) kwenye msimamo wa Ligi Kuu baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1 – 0 kwenye mchezo wao wa mwisho dhidi ya Mbeya City.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents