Burudani

Collabo ya Diamond na Lavalava “ONE TWO” wamefeli hapa(Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia collabo ya Diamond na Lavalava iliyotoka leo ya ONE TWO.

Anasema ngoma hiyo ilishawahi kuvuja miaka miine iliyopita na wameamua kuiachia bila kuipigia kelele.

Anasema ngoma hiyo ya One Two ni moja ya ngoma kubwa sana na laiti wangeiachia kipindi cha nyuma ingekuwa kama JIBEBE waliyoiachia miaka ya nyuma.

Anasema One Two sio Official maana ilishawahi kuvuja hivyo inawezekana imeachiwa kwa sababu haina sababu ya kuendelea kukaa ndani.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents