BurudaniDiamond PlatnumzMuziki

Comedy itakuwa kubwa kuliko Muziki (Video)

Akipiga Story na @el_mando_tz Co-founder wa @cheka.tu na @chekaplustv Cray ambaye ni mdogo wake na mchekeshaji @coy_mzungu ameweka wazi kuwa Comedy itakuwa kubwa kuliko muziki.

Anaongeza kuwa dalili hizo zimeanza kwa sababu wasanii wengi hawana uwezo wa kujaza ukumbi wa Mlimani City lakini Cheka Tu wameweza.

Lakini pia asilimi kubwa wasanii wa muziki wanafanya show za bure na kama kuna kiingilio basi kinakuwa kidogo sana tofauti na Cheka Tu ambao wanazo mpaka meza za milioni moja.

Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents