Habari
COSOTA watoa neno maonyesho ya Arts and Home WareHouse Dar (Video)
Afisa Mtedaji Mkuu COSOTA Bi.
Doreen A. Sinare na Meneja Usajili Bw. Philemon Kilaka kutoka COSOTA pamoja na rasi wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Bw. Adrian Nyangamale na Muwakilishi wa Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Martha tarehe 25.10.2023 ikiwa ni siku ya Msani wametembelea Maonesho ya Art and Home Week valiyoandaliwa na mdau wa masuala ya sanaa BW. Aminiel L. Bartholomew kutoka Creative Option Tz (COT) yakiendelea pale the Warehouse Masaki tarehe 25 hadi 27 Oktoba 2023.
Fika kuumuunga mkono mdau na wadau katika maonesho hayo.
COSOTA watakuwepo kwa ajili ya elimu ya masuala va hakimiliki na kusaili kazi za wabunifu wa masuala ya hakimiliki waliopo hapo na wale watakaotembelea hapo.