Burudani
COY MZUNGU AFUNGUKA YA MOYONI TUZO ZA COMEDY(Video)

Msanii Maarufu wa uchekeshaji Coy Mzungu amefunguka juu ya Tuzo zinazotarajiwa kutolewa hivi karibuni kwa wasanii wa Komedi na kutoa ya moyoni juu ya Tuzo hizo.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @Abbrah255& @Johnbosco_mbanga