Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz
D Voice ajipakulia minyama (Video)

Kupitia Insta Story yake last born wa @wcb_wasafi @itsdvoice ameandika kuwa:-
“KWA EAST AFRICA HII MIMI NDIE MSANII MDOGO
NINAYE SHOOT VIDEO KWA HELA NYINGI KULIKO
YOYOTE, ANAYEBISHA APOST MKATABA WAKE WA
MALIPO NA MIMI NI POST AFTER ALL TAJIRI MAWE
ANAYO”
Kama unampinga uwe na sababu, unakubaliana naye au unampinga??
Swipe kuona post yake.