Burudani
Daimond aweka wazi ndoto yake yakuwa Tajiri Namba 1 Duniani
SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Aweka Wazi Kuwa Ndoto Yake Kubwa Ni Kuwa Tajiri Namba 1 Duniani Wakati Akitangaza Kuwa Mwaka Huu Anatarajia Kutambulisha Bidhaa Yake Mpya.
Ni Kwenye Uzinduzi Wa #WasafiFestival2024