AfyaHabariSiasa

Daktari – Hatuna majeruhi wowote wa Loliondo

Mganga mkuu wa Hospitali ya Wasso iliyopo Ngorongoro ametoa ufafanuzi na kukanusha kuwepo kwa majeruhi katika hospital Teule ya Wilaya ya ngorongoro kuhusu taarifa zinazosambaa kuwa  kujaa kwa majeruhi wanaotoka katika jamii ya kimasai.

Amesema kuwa “Taarifa hizo siyo za kweli na watanzania puuzeni wanaopotosha ukweli, jana na leo hatujapokea majeruhi na katika hospitali yetu tuna wagonjwa ambao ni wakawaida tu.

Tunaomba watu watambuwe kuwa katika vituo vya afya tulivyonavyo vitano (5) zahanati 26 na hospitali zetu kubwa mbili (2) hatujapokea majeruhi wa aina yeyote tofauti na wagonjwa wengine wa kawaida.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents