Daladala ya Mwanza Tanzania yapostiwa na Chris Brown Instagram (+ Video)

Kupitia Instagrma ya msanii kutoka nchini Marekani Chris Brown amepost Daladala ndogo inayofanya safari zake mkoani Mwanza kutoka #Kisesa kueleka #Nyashishi ndani ya mkoa wa Mwanza imeonekana kwenye Insta story ya msanii huyo.

Haijafahamika Chris Brown ameitolea wapi hiyo Clip ingawa inasikika sauti ya mtu akidai lazima amtumia Chris Brown na asipoipost ataumia sana akiongea maneno ya Kiswahili.

Kwa haraka haraka ni kwamba Chris Brown amevutiwa na picha zake zilizobandikwa nyuma ya daladala hiyo na kuamua kupost kupitia Insta stori yake.

Related Articles

Back to top button